KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAZINDUA KAMPENI YA WINDA NA USHINDE JIJINI DAR ES SALAAM LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAZINDUA KAMPENI YA WINDA NA USHINDE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh Steve Ganon akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari kabla ya kuzindua Kampeni ya Winda na Ushinde iliyozinduliwa leo katika kiwanda chao
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh Steve Ganon akionyesha Bia ya Serengeti kama ishara ya Uzinduzi wa Kampeni ya Winda na Ushinde huku akishuhudiwa na Mkuu wa Masoko wa Kampuni hiyo Ephraimu Mafuru (katikati) na Rugambo Rodney Mwakilishi wa Kampuni ya Push Mobile
Mwakilishi wa Kampuni ya Push Mobile Rugambo Rodney akisoma sms iliyoingia kwenye Simu yake baada ya Kutuma ujumbe mfupi uliotumwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh Steve Ganon ambao aliupata baada ya kufungua kizibo cha Bia ya Serengeti
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh Steve Ganon akionyesha Ujumbe mfupi ulioingia kwenye simu yake baada ya kutuma ujumbe uliokuwa chini ya kizibo cha bia ya Serengeti aliyoifungua kama ishara ya uzinduzi wa Kampeni ya Winda na Ushinde
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh Ephraimu Mafuru akisoma Ujumbe mfupi baada ya Kufungua Kizibo cha Bia ya Serengeti katika uzinduzi wa Kampeni ya Winda na Ushinde iliyozinduliwa leo Kiwandani Kwao.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti Ephraimu Mafuru Akimsomea Ujumbe Mfupi Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh Steve Ganon uliopatikana baada ya kufungua kizibo
Baadhi ya Wageni waalikwa na Waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya Winda na Ushinde uliofanyika katika Kiwanda cha Serengeti kilichopo Temeke Chang'ombe
 Wanahabari wakiwa katika harakati za kuchukua taswira wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Winda na Ushinde iliyozinduliwa leo jijini Dar
Moja ya Bango la Kampeni mpya ya Kampuni ya Bia ya Serengeti iitwayo Winda na Ushinde likiwa mbele ya Kiwanda chao Maeneo ya Chang'ombe

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages