mbunge Msigwa (kulia)akizungumza na msaidizi wa askofu wa KKKT dayosisi ya Iringa
Mbunge Msigwa akisalimia katika harambee iliyoendeshwa na Sumaye leo katika chuo cha Tumaini Iringa
Watalii wakiogopa kuendelea na safari baada ya kutokea machafuko mjini Iringa
Jeshi la polisi mkoa wa Iringa limemkamata mbunge wa jimbo la
Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (Chadema) kufuatia kuhusishwa na
vurugu za machinga eneo la mashine tatu hii leo
Hivi sasa mbunge huyo yupo katika kituo kikuu cha polisi mjini Iringa akihojiwa na polisi kufuatia vurugu hizo ambazo kwa sasa zimetulia na wananchi wameanza kuendelea na biashara zao.
Ulinzi makali waimarishwa eneo la kituo cha polisi huku wananchi wakiwa nje ya kituo hicho kuona kinachoendelea .

habari kamili itakujia hivi punde................Habari kwa Hisani ya Francis Godwin
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)