Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Hussam A'ala,
wakati akimkaribisha ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana
Aprili 28, 2013 alipofika kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Hussam A'ala, na
ujumbe wake wakati alipofika Ofisini kwa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa
ajili ya mazungumzo, jana.

akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria,
Hussam A'ala, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu
wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)