Jeshi la Polisi lapokea vifaa maalum vya kupima ulevi kwa madareva kutoka SUMATRA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jeshi la Polisi lapokea vifaa maalum vya kupima ulevi kwa madareva kutoka SUMATRA


Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra Mr.Kilima (kulia) akimkabidhi “vipima ulevi” Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP. Said Mwema (kushoto) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP. Said Mwema akimkabidhi “Vipima ulevi” Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania – SACP. Mohammed R. Mpinga, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania - IGP. Said Mwema akitoa hotuba fupi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra Mr.Kilima akisoma hotuba fupi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.

Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi na washiriki mbalimbali wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Washiriki mbalimbali wakishuhudia makabidhiano ya “vipima ulevi” wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.
Mabango elimishi ya Sumatra na la Jeshi la Polisi yaliyoonyeshwa wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (SACP - Mohammed R. Mpinga) na Viongozi mbalimbali wa Sumatra wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages