Magari aina ya Noah yakiwa yameegeshwa Pembeni ya Kituo Cha Mabasi yaendayo Mikoani cha Morogoro Msamvu tayari kwa kuwasubiri abiria wa kuwapeleka Mkoani Dodoma.Usafiri huu umekua maarufu sana Mkoani Morogoro na Dodoma Kwa Ujumla.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)