Sehemu ya Wajumbe wa Muunganiko wa makampuni ya nchini
Korea wakifuatilia kwa makini mada kuhusu mfumo wa Ki-Electronic na
shughuli na huduma za Uhamiaji. Kushoto ni Ofisa uhamiaji.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (wa nane kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa muunganiko wa makampuni
ya nchini Korea mara baada ya kuwasilisha mada kuhusu mfumo wa Ki-Electronic
wa shughuli na huduma za uhamiaji katika ofisi za Uhamiaji Makao Makuu,
jijini Dar es Salaam. Miongoni ya makampuni hayo yaliotoa mada ni Consurtium
na African Future Forum. PICHA ZOTE NA WA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)