Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania Dk. Yamungu Kayandabila,
(kushoto) akimkaribisha Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Rashid
Seif Suleiman, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Ocean View kwa
ajili ya Uziduzi wa Bodi ya Shirika hilo (katikati) Posta Masata Mkuu Tanzania
Deos Khamis Mndeme,
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tamzania Dk. Yamungu
Kayandabila, akitowa maelezo wakati wa Uzinduzi wa Bodi yao uliofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Rashid Seif
Suleiman, akihutubia baada ya kuizinduwa Bodi Mpya ya Shirika la Posta Tanzania
katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania wakimsikiliza
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar akiwahutubia na kutowa nasaha
zake kwa Wajumbe hao wa Bodi katika utekelezaji wa Kazi zao kwa Ufanisi.
Posta Masta Mkuu Tanzania Deos Khamis Mndeme, akizungumza na
waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusuana na Shirika lake katika
utendaji wa kutowa huduma kwa Wateja wao Tanzania na Nje ya Tanzania , jinsi
shirika hilo linavyojiborsha katika huduma zake kuhakikisha kila mtu inamfika
huduma ya posta nyumbani kwake.
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Rashid Seif
Suleiman, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi Mpya ya Shirika la
Posta Tanzania. na Wafanyakazi wa Shirika hilo.Picha Zote na Othman Maulid Othman-Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)