KAMATI YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA YAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIPANGO YA MAENDELEO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMATI YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA YAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIPANGO YA MAENDELEO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, Anna Abdallah akifurahi jambo wakati alipokuwa anakagua na kamati yake ujenzi wa makao makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linalojengwa Tazara Mchicha, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (aliyevaa tai) akiwa na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama wakati walipokuwa wanakagua ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kushoto-aliyevaa tai) akiwa na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama wakati walipokuwa wanakagua ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama na maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati kamati hiyo ilipofanya ziara ya ukaguzi wa mipango ya maendeleo ya jeshi hilo, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, Anna Abdallah akizungumza na maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Kamati hiyo ilifanya ziara ya ukaguzi wa mipango ya maendeleo ya jeshi hilo, jijini Dar es Salaam jana. Aliyevaa tai ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima. PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages