BENDERA YA TANZANIA IKIPEPEA NDANI YA VATICAN WAKATI PAPA AKIWEKWA WAKFU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BENDERA YA TANZANIA IKIPEPEA NDANI YA VATICAN WAKATI PAPA AKIWEKWA WAKFU

Bendera ya Tanzania ikipepea wakati wa Papa Francis 1 alipokuwa akiwasili ndani ya Mji wa Vatican tayari kwa Kuwekwa wakfu mapema leo.Bendera ya Tanzania ndio bendera pekee iliyokuwa ikionekana katika Picha hii na kuashiria kuwa Kuna Watanzania Walienda Kutuwakilisha na Kushuhudia Papa akiwekwa Wakfu.Picha na Reuters

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages