Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha historia ya Uuguzi na
Ukunga nchini wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Baraza la Uuguzi na
Ukunga Tanzania katika bustani ya Mnazi Mmoja leo Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini kitabu cha maombolezo
alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na
gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani
kwa marehemu sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole mume wa marehemu
alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na
gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa
marehemu sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka kufungua rasmi Maabadara ya kisasa
ua Uhandisi Jeni (Genetic Engineering) katika kituo cha utafiti wa
Kilimo cha Mikocheni jijini Dar es salaam leo Machi 19, 103. Kushoto ni
Dkt Chrtistopher Chiiza na wa pili kulia ni Mku wa kituo hicho Bw.
Joseph Ndunguru
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto pamoja
na IGP Saidi Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama
Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP
Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013.PICHA NA IKULU










No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)