GAVANA WA BENKI KUU PROF. BENNO NDULU ATOA MAONI YA KATIBA MPYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

GAVANA WA BENKI KUU PROF. BENNO NDULU ATOA MAONI YA KATIBA MPYA

1.Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu (kulia)) akibadilishana mawazo na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kutoka kulia Joseph Butiku, Prof. Mwesiga Baregu (katikati), na Dkt. Sengondo Mvungi mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yao uliofanyika leo jumatatu januari 28, 2013. Ujumbe wa BOT ulikutana na Tume na kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
2.Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesa Benno Ndulu (kulia)akibadilshana mawazo na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kutoka kulia Joseph Butiku (kushoto)na Profesa Mwesiga Baregu (katikati) mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yao uliofanyika leo jumatatu Januari 28, 2013. . Ujumbe huo wa BOT ulikutana na Tume na kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages