KIKAO CHA BUNGE CHAANZA LEO NA KUUNDA KAMATI YA KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI WA MTWARA KUHUSU GESI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KIKAO CHA BUNGE CHAANZA LEO NA KUUNDA KAMATI YA KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI WA MTWARA KUHUSU GESI

 Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Anne Makinda, akitoa taarifa kwa wabunge (kawapo pichani) wakati wa kikao cha kwanza cha Bunge kilichoanza leo mjini Dodoma kuhusu kuundwa kwa kamati itakayokwenda mkoani Mtwara kusikiliza maoni ya wananchi wa mkoa  huo kuhusu tatizo la suala la gesi.
 Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (kulia)  na Mbunge wa kuteuliwa (NCCR- MAGEUZI) James Mbatia, wakifuatilia masuala mbalimbali Bungeni leo mjini Dodoma.
 Baadhi ya wabunge wakifuatilia maswali na majibu katika kikao cha mkutano wa kumi mjini Dodoma leo.
 Naibu Waziri  Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia , January Makamba, akijibu hoja za wabunge zinazohusu wizara yake Bungeni mjini Dodoma leo.
 Baadhi ya wabunge wakisalimiana baada ya kuahirishwa  kwa kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.
Mbunge wa( Monduli )Edward Lowassa (kulia) akimsikilza Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo, Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages