Mwanafunzi wa Sheikh Abdalla Saleh Farsy Sheikh Machano Hamadi Machano
akitoa Historia ya Madarasa aliokuwa akifundisha Sheikh huyo na Masomo
yake katika Tamasha la Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh
Abdalla Saleh Farsy aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960kisha
akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha lililofanyika People Palace
Forodhani Zanzibar
Kadhi Mstaafu wa Kenya Sheikh,Hamad Kassim akitoa Historia ya Maisha ya
Sheikh Abdalla Saleh Farsy katika Tamasha la Kiislamu la kumuenzi na
kumkumbuka Sheikh huyo aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960 kisha
akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha lililofanyika People Palace
Forodhani Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akitoa
hotuba katika Tamasha la Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh
Abdalla Saleh Farsy aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960kisha
akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha lililofanyika People Palace
Forodhani Zanzibar.
Baadhi ya Walimu wa Madrasa na Wanafunzi waliohudhuria katikaTamasha la
Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh Abdalla Saleh Farsy aliewahi
kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960 kisha akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka
1968.Tamasha lililofanyika People Palace Forodhani Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk kulia
akibadilishana Mawazo na Kadhi Mstaafu wa Kenya Sheikh,Hamad Kassim
katika Tamasha la Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh Abdalla
Saleh Farsy aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960 kisha akawa Kadhi
Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha lililofanyika People Palace Forodhani
Zanzibar.Picha na habari-Yussuf Simai,Maelezo-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)