Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Ngosi Mwihava akifungua
mafunzo kwa watendaji kutoka taasisi za utafiti wa vyakula na magonjwa
ya binadamu kuhusu athari zinazoweza kujitokeza kutokana na
bioteknolojia ya kisasa. Mafunzo hayo yanafanyika katika Hoteli ya
Giraffe Ocean View, jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Washiriki wa warsha ya Tathmini ya athari zinazoweza kujitokeza
kutokana na teknolojia za kisasa wakifuatilia mafunzo yanayotolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais – Idara ya mazingira. Mafunzo hayo yanaendelea
katika Hotel ya Giraffe Ocean View, jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Ngosi Mwihava
(kulia) akibadilishana mawazo na Dk. Flora Ismail kutoka Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam na Dk. Julius Ningu, Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi
ya Makamu wa Rais mara baada ya kufungua mafunzo kwa watendaji kutoka
taasisi za utafiti wa vyakula na magonjwa ya binadamu kuhusu athari
zinazoweza kujitokeza kutokana na bioteknolojia ya uhandisi jeni.
Mafunzo hayo yanafanyika katika Hoteli ya Giraffe Ocean View, jijini Dar
es Salaam
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)