Kajunason Blog (www.kajunason.blogspot.com) inapenda kukutangazia nafasi ya kazi ya Uandishi wa Habari na Mpiga Picha kutoka mikoa ya:
Mwanza nafasi 1
Arusha nafasi 1
Mbeya nafasi 1
Dodoma nafasi 1
Dar es Salaam nafasi 2
Vigezo:
1. Awe na uwezo wa kupiga picha na kutumia komputa kwa ustadi mkubwa.
2. Mwenye elimu ngazi ya Cheti.
3. Mwenye mahusiano mazuri na jamii yake pamoja na viongozi mbali mbali wa Mkoa wake.
Mwanza nafasi 1
Arusha nafasi 1
Mbeya nafasi 1
Dodoma nafasi 1
Dar es Salaam nafasi 2
Vigezo:
1. Awe na uwezo wa kupiga picha na kutumia komputa kwa ustadi mkubwa.
2. Mwenye elimu ngazi ya Cheti.
3. Mwenye mahusiano mazuri na jamii yake pamoja na viongozi mbali mbali wa Mkoa wake.
4. Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) kazini.
5. Afya njema na uwezo wa kuhimili mikikimikiki.
6. Mwenye umri kuanzia miaka 24 na kuendelea mpaka 31.
7. Asiwe amewahi kupata makosa yeyote na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria kwa makosa ya rushwa, wizi, unyang'anyi na ubakaji/unyanyasaji wa kijinsia.
Maombi yaambatanishwe na maelezo ya muombaji (Biography) pamoja na picha yako inayokuonyesha mwili wako wote (full size).
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10.01.2013
N:B Maombi ambayo hayatakuwa yamekamilisha viambatanisho hayatapokelewa.
Maaombi yatumwe:
Barua Pepe: cathbert39@gmail.com
Amekamilisha viambatanisho hayatapokelewa.
Maaombi yatumwe:
Barua Pepe: cathbert39@gmail.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)