Askari
wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania akiokota moja ya silaha iliyovunjika
wakati kikosi cha Askari awa kutuliza ghasia FFU kilipotoa heshima kwa
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete kwenye gwaride la miaka 51 ya
uhuru lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Novemba
9, 2012. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)