MADEREVA WA DALADALA WANAPOJIMILIKISHA BARABARA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MADEREVA WA DALADALA WANAPOJIMILIKISHA BARABARA

Dereva wa daladala linalofanya safari zake kati ya Vingunguti na Posta akiwa amesimamisha gari lake katikakati ya barabara inayotoka vingunguti na kupitia Buguruni Kwa Mnyamani Akiwa anapakia abiria  Bila wasiwasi wala uoga bila kujali kuwa anasababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara hiyo majira ya asubuhi ambapo wakazi wengi wa Maeneo ya Tabata na Vingunguti hupenda kutumia njia hii ili kukwepa foleni inayokuwepo mara kwa mara katika barabara ya Mandela wakati wakielekea Mjini.Bila aibu wala uoga anapakia katikati ya Barabara.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages