Mtindo huu unaitwa mishikaki japokuwa Sheria za Usalama Barabarani haziruhusu lakini waendesha bodaboda wamekuwa wagumu kuelewa na kuzifuata sheria za usalama barabarani.Kwa Mtindo huu kuna usalama kweli hapa au ndio ukifika salama huko unakokwenda ndio Usalama wenyewe lakini likikukuta ndio unajutia au.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)