kamanda mpinga afunga MAFUnZO YA WAENDESHA PIKIPIKI CHUO CHA UFUNDI STADI VETA – CHANG’OMBE jijini dar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

kamanda mpinga afunga MAFUnZO YA WAENDESHA PIKIPIKI CHUO CHA UFUNDI STADI VETA – CHANG’OMBE jijini dar

 DSCN0599%5B1%5D
Mgeni rasmi,Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani Tanzania,SACP Mohamed Mpinga akikmkabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu ya mafunzo ya waendesha piki piki yaliyofanyika chuo cha ufundi stadi-VETA Chang'ombe jijini jana.Vijana wapatao 301 kutoka Temeke walipewa vyeti 
DSCN0589%5B1%5D
Kamanda Mpinga akiongea na wahitimu, L to R ACP Missime RPC Temeke, Yakub Rajab TDA, Mkurugenzi manispaa temeke,M/kiti Bodi ya ushauri, Mkuu wa chuo cha VETA, ACP Kahatano Traffic Kuu.
DSCN0581%5B1%5D
Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Mama Nyalile  akiwaasa bodaboda, L to R kamanda Mpinga, M/kiti wa  wa bodi ya ushauri ya chuo Nd. Marealle, Mkuu wa chuo cha VETA Nd. Ng'andu
DSCN0564%5B1%5D
Onyesho la Mishikaki ambapo waendesha piki piki hap wameapa kutopakia abiria zaidi ya mmoja.
DSCN0576%5B1%5D
 Wahitimu hao wakiserebuka kidogo
DSCN0555%5B1%5D
Wahitimu wa mafunzo ya uendeshaji boda boda wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye hafla hiyo.
DSCN0594%5B1%5D
Waendesha piki piki wakila kiapo cha utii.Picha zote kwa hisani ya SACP Mpinga - CO Traffic

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages