Mhe.
William Mgimwa Waziri wa Fedha akichangia mada juu ya jinsi gani
waafrika wanaweza kujikomboa kwa kupitia Benki ya Maendelea ya Afrika
katika hafla ya chakula cha jioni Jijini Tokyo- Japan
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Donald Kaberuka akifurahia jambo na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa walipomaliza hafla ya chakula cha jioni Jijini Tokyo- Japan.
Waziri wa Fedha akiwa na rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Donald Kaberuka katika kikao cha faragha jijini Tokyo –Japan.
Donald Kaberuka Rais
wa Benki ya Maendeleo ya Afrika akimsikiliza kwa makini waziri wa Fedha
Dkt. William Mgimwa wakati wa chakula cha Jioni Jijini Tokyo – Japan
Waziri
wa Fedha Dkt. William Mgimwa akiwa na Waziri wa Fedha wa Uganda Bi.
Maria Kiwanuka wakibadilishana mawazo katika chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jijini Tokyo –
Japan.
Wajumbe
wa Mkutano huo wakiwa katika chakula cha jioni, wa mwanzo kabisa ni
Gavana wa Benki kuu Malawi akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ya
Malawi.Picha na Habari zimeletwa na ingiahedi mduma-Wizara ya Fedha





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)