
Kinanda cha Kanisa la KKKT kilichoharibiwa na wahalifu hao

Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk
Faustine Ndugulile akisalimiana na Makamu Askofu Mkuu wa kanisa la
Tanzania Assemblies Of Gog Askofu Magnus Muiche wakati alipokwenda
kutembelea pamoja na kutoa pole kwa Makanisa yaliyoharibiwa na Mgogoro
wa Kidini ambapo Mbunge alibaini Makanisa kumi yaliyoharibiwa na Sakata
hilo ambapo aliweza kutembelea makanisa yote kumi.

Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili
Kilutheri Tanzania KKKT Dayosis ya Mashariki na Pwani Mtaa wa Mbagala
Mch, Frank Kimambo akimwenyesha Mh Mbunge baadhi ya Sehemu iliyoharibiwa
katika Kanisa hilo ambapo alisema kuwa Ofisi yake ilichomewa kila kiti
na hawakuweza kuokoa kitu chochote, na kuongeza kuwa sehemu nyingine
iliyoharibiwa ni Madhabau.

Mh Mbunge (kulia) akiangalia gari liliochomwa katika hekaheka hizo.Picha na Habari na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk
Faustine Ndugulile

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)