NAIBU SPIKA AWASILI LILONGWE MALAWI KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC PF - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NAIBU SPIKA AWASILI LILONGWE MALAWI KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC PF

Mhe.Naibu Spika Job Ndugai akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Malawi,Patrick Tsere (kushoto) mara baada ya kuwasili jijini Lilongwe.Naibu Spika Ndugai amewasili nchini Malawi kuhudhuria mkutano wa 32 wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa SADC PF.Mkutano huo unatarajiwa kuandaa msingi wa uanzishwaji wa Bunge la SADC.Zaidi ya Wabunge 100 toka nchi 13 za SADC wanahudhuria.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages