| Polisi aliyejihami kwa bunduki na radio ya mawasiliano, akishika doria kwenye lango la kuingilia chumba cha mahakama ambako watu 29 walifikishwa mahakamani hapo Jumanne Oktoba 16, 2012, wakikabiliwa na mashtaka kadhaa ya kuvamia makanisa, kuharibu, kuiba na kuchoma mali za makanisa hayo wiki iliyopita huko Mbagala jijini Dar es Salaam. Wote wamerejeshwa mahabusu hadi Oktoba 30 ambapo mahakimu waliokuwa wakisikiliza kesi hiyo, wameahidi kutoa uamuzi juu ya hatma ya dhamana. Source:K-VIS BLOG |
-








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)