
Balozi
Mbelwa Kairuki (kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australia,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akimkaribisha Ofisini
kwake Bw. Thiery Murcia, Mwakilishi wa Heshima wa Australia hapa nchini
alipomtembelea jana

Balozi Kairuki akiwa katika mazungumzo na Bw. Murcia.

Balozi Kairuki akimsikiliza kwa makini Bw. Murcia alipokuwa akizungumza nae.

Balozi
Kairuki akipitia moja ya nyaraka muhimu alizokabidhiwa na Bw. Murcia
wakati wa mazungumzo yao.Picha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)