Dk. Shukuru Kawambwa Waziri wa Elimu wa Tanzania akilakiwa na
Bw.Suleiman Saleh, Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya
kuwasili katika uwanh=ja wa ndege wa Kimataifa wa Dulles Washington DC.
Aliembatana na Mhe.Kawambwa ni Kamishana wa Elimu katika Wizara ya
Elimu Profesa Eaustelia Bhalalusesa.
Bw, Suleima Suleiman Saleh akisaliamiana na Profesa Eaustelia Bhalalusesa baada ya kutambulishwa nae na Mhe.Dk.Shukuru Kawambwa.
Waziri wa Elimu wa Tanzania Mhe. Dr. Shukuru Kawambwa(Mb.) awasili
Washington DC kuhudhuria mkutano na viongozi wa Benki ya Dunia kujadili
masuala mbali mbali ya kuboresha sekta ya Elimu nchini Tanzania.kutoka
kushoto ni Profesa Eaustelia Bhalalusesa, Dk. Shukuru Kawambwa
Waziri wa Elimu wa Tanzania na Bw.Suleiman Saleh, Afisa Ubalozi wa
Tanzania Washington DC
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)