FRANSIC MIYAYUSHO KUPAMBANA NA NASSIBu RAMADHANI DECEMBER 9, 2012 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FRANSIC MIYAYUSHO KUPAMBANA NA NASSIBu RAMADHANI DECEMBER 9, 2012

Bondia Fransic Miyayusho kushoto akisaini mkataba wa kucheza na bondia Nasibu Ramadhani wa pili kulia wanaoshudia kulia ni wakili wa promota Nyasebwa Berious na Mohamed Bawazir
Promota  wa mchezo wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwainua mikono juu bondia Fransic Miyayusho kushoto na Nassibu Ramadhani wakati wa kutambulisha mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba siku ya DECEMBER 9, 2012.

Mabondia Fransic Miyayusho kushoto akitunishiana misuri na Nassibu Ramadhani wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa utakaofanyika DECEMBER 9, 2012.
PAMBANO LA UZITO WA BANTAM (KILO 53.5)LA UBINGWA WA INTERCONTINETAL UNAOTAMBULIWA NA WORLD BOXING FORUM (WB-FORUM) NA KUSIMAMIWA NA PST CHINI YA EMMANUEL MLUNDA. PAMBANO LINAANDALIWA NA DAR WORLD LINK CHINI UKURUGENZI WA MOHAMED BAWAZIR.LITAFANYIKA DECEMBER 9, 2012.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages