Mwenyekiti wa Tume ya Haki za
Binaadamu na Utawala Bora Jaji Kiongozi (Mstaafu) Amiri Ramadhan Manento
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini
Dar es Salaam leo wakati akitoa muhtasari wa taarifa ya Uchunguzi wa
Tume yake kuhusu tukio lililopelekea kifo cha mwandishi wa habari,
marehemu Daudi Mwangosi, kilichokea hivi karibuni, kijijini Nyololo,
Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa. (Kushoto) ni Makamu Mwenyekiti wa Tume
ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mahfoudha.A. Hamid na (kulia) ni
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Tume hiyo Florida
Kazora.
Sehemu ya wanahabari waliohudhuria.....
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mahfoudha.A. Hamid. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)