Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimia na Msimamizi (Matron) wa warembo wa Redd’s Miss Tanzania
2012,Irene Karugaba wakati Warembo hao walipotembelea Nyumbani kwa
Waziri Mkuu Mstaafu,Monduli ili Kupata Baraka zake.Mh. Lowassa
aliwapokea warembo hao kwa furaha na kuzungumza nao machache juu ya
mafanikio ya Mashindano hayo na Maendeleo ya Taifa letu la Tanzania.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akizungumza na Warembo wanaowania Taji la Redd’s Miss Tanzania 2012
waliofika nyumbani kwake Monduli leo na kupata wasaa kwa kuzungumza nae
mambo mawili matatu juu ya mafanikio ya Mashindano hayo na Maendeleo ya
Taifa letu kwa ujumla.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)