RAIS KIKWETE AMWAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA

Amirijeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza Tanzania, Kamishna Jenerali  John Casmir  Minja, Ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi.
Rais Kikwete akimkabidhi nyenzo baada ya kumwapisha Mkuu huyo  mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja. Picha zote na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages