Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
(wapilikulia) akizungumza na wajumbe wa kamati ya Sheria ya Bunge la
Jamhuri ya Ujerumani wakati walipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume
hiyo Dar es Salaam Kulia ni Katibu wa Tume, Assaa Rashid na wapili
kushoto ni Mkuu wa Msafara huo, Kauder.
MwenyekitiwaTumeyaMabadilikoyaKatiba, Jaji Joseph Warioba (kulia)
akibadilishana mawazo na Mkuu wa msafara wa wajumbe kamati ya Sheria ya
Bunge la Jamhuri ya Ujerumani, Kauder (kushoto) wakati ujumbe huo
ulipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)