Mkurugenzi
Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Nchini Dkt. Aloyce Nzuki (wa pili
kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mpishi maarufu Duniani kutoka
nchini India SanjeevKapoor (wa pili kulia) mara baada ya kumalizika kwa
mkutano baina yao na waandishi wa habari uliohusu umuhimu wa vyakula
vya asili katika sekta ya utalii uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Kulia ni Naibu Meneja Mkuu wa Hoteli ya Serena Daniel Sambai na kushoto
ni Mkurungezi wa Performance Ltd. Tanzania Runjiv Kapur.
Mkurugenzi
Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Nchini Dkt. Aloyce Nzuki (kushoto)
akimtambulisha mpishi maarufu Duniani kutoka nchini India SanjeevKapoor
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam
ambaye amekuja nchini kwa ajili ya kuandaa vipindi vya runinga ambavyo
vitahusu mapishi ya vyakula vyaasili ili kutangaza utalii wa
kiutamaduni. Mpishi Kapoor Atakuwepo nchini kwa muda wa wiki mbili kwa
ajili ya kuandaa vipindi hivyo.
Baadhi
wa wageni waalikwa na mwaandishi wa habariwakimsiliza Mpishi maarufu
Duniani kutoka nchini India SanjeevKapoor (hayupo pichani) akielezea
umuhimu wa vyakula vya asili katika sekta ya utalii wa nchi Mpishi
Kapoor atakuwepo nchini kwa muda wa wiki mbili kwa ajili ya kuandaa
vipindi vya runinga ambavyo vitahusu mapishi ya vyakula vyaasili ili
kutangaza utalii wa kiutamaduni nchini India. Picha na Anna Nkinda –MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)