Dada wa Mbunge wa jimbo la
Monduli na Waziri Mkuu mstaafu Kalaine Lowasa akiwavisha warembo wanaoshiriki
shindano la Redds Miss Tanzania 2011, mgolole wa kimasai wakati warembo hao
walipoandaliwa tafrija maalum ya kuwakaribisha katika mji wa Monduli.Kushoto ni
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge w Monduli, Regina Lowasa.Warembo hao wapo
Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika
mikoa hiyo

Robert Lowasa nae alivishwa Mgolole kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa kufanikisha warembo hao kufika mji i
Warembo wakiwa wamekaa na mavazi yao yimasaai
Baadhi ya wadau waliohudhuria tafrija hiyo
Nao walikuwepo
Viongozi wa kamati ya Miss Tanzania
Picha ya pamoja
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,
Regina Lowasa akicheza mziki wa Kwaito na Warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2012, wakati wa tafrija maalum
ya kuwakaribisha warembo hao katika mji wa Monduli jana mkoani Arusha. Warembo
wa Redds Miss Tanzania wapo Kanda ya
Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa
hiyo.
Mke
wa Waziri Mkuu Mstaafu,
Regina Lowasa na mtoto wake Robert Lowasa 'Bob" wakicheza mziki wa
Kwaito na Warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2012,
wakati wa tafrija maalum
ya kuwakaribisha warembo hao katika mji wa Monduli jana mkoani Arusha.
Warembo
wa Redds Miss Tanzania wapo Kanda ya
Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika
mikoa
hiyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)