MTANDAO WA HIV /AIDS WAZINDULIWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MTANDAO WA HIV /AIDS WAZINDULIWA

Kaimu mkurugenzi wa Tume ya kudhibiti ukimwi (TACAIDS) Morrs Lekule katikati akiwasha mshumaa kwa ajili ya kuwakumbuka  watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa ukimwi juzi wakati wa uzinduzi wa mtantandao HIV/AIDS uliofanyika katika Chuo kikuu huria Tanzania jijini Dar es salaam  (kushoto) ni  makamu mkuu wa chuo kikuu huria Malen Victor watatu kulia ni mkurugenzi wa Tanzania Youte Pelev Masika  (kulia) makamu mkuu wa Chuo kikuu huria Tanzania  masomo ya teknolojia  Bw. Modest Varisanga  wakishuhudia tukio hilo.
Wanafunzi wa chuo hicho wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya uzinduzi huo
Kaimu Mkurugenzi wa TACAIDS Morrs Lekule akibonyeza kitufe cha kompyuta  kuashiria uzinduzi rasmi wa  wa tovuti ya HIV/AIDS Club ya chuo kikuu huria cha Tanzania.
Hapa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi rasmi.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages