Mtendaji
Mkuu wa Tanroads Mhandisi Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto) na
Mtendaji Mkuu kutoka kampuni ya ujenzi ya China Railway 15 Bureau group
Corporation (CR15G) Zhang Tonggang (kulia) wakiweka saini mkataba wa
ujenzi wa daraja la Kilombero lenye urefu wa meta 384 na ujenzi wa
barabara zake za miingilio za lami( kilometa 9.142).na jenzi wake
utagharimu shilingi bilioni 53.2 .Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar
es Salaam.na kushuhudiwa na Waziri wa Ujenzi, Dkt, John Magufuli (mwene
miwani) na kulia kwake na katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Herbert
Mrango.Pichani kutoka kushoto ni Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Tanroads ,
Bibi Hawa Mmanga,Mbunge wa Mikumi- Abdul Salim Ameir na Mbunge kutoka
Morogoro Kusini Innocent Kalgeris. (Picha na Mwanakombo jumaa-
MAELEZO)mweye miwani) na kulia kwake ni katibu Mkuu wa Wizara hiyo
Balozi Herbert Mrango.Pichani kutoka kushoto ni Mwenyekiti mpya wa Bodi
ya Tanroads , Bibi Hawa Mmanga,Mbunge wa Mikumi- Abdul Salim Ameir na
Mbunge kutoka Morogoro Kusini Innocent Kalgeris. (Picha na Mwanakombo
jumaa- MAELEZO)Mtendaji
Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale (kulshoto) pamoja na Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi ya China Railway 15 Bureau Group
Corporation (CR15G) Bw, Zhang Tonggang (kulia) wakibadilishana hati
baada ya kuweka saini kwaajili ya ujenzi wa darala la Kilombero mkoani
Morogoro, Daraja hilo lenye urefu wa kilometa 384 litagharimu shilingi
bilioni 53.2. .Ujenzi wa daraja hilo utaziunganisha Wilaya za Mahenge
na Ulanga. pamoja na kuboresha Usafiri wa mikoa ya kusini na
kuleta kichocheo cha ukuaji wa shughuli za kiuchumi.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)