Home
Unlabelled
Katibu Mkuu wa Chama Kipya Cha Alliance For Democratic Change (ADC)Ziarani Mkoani Mwanza
Katibu Mkuu wa Chama Kipya Cha Alliance For Democratic Change (ADC)Ziarani Mkoani Mwanza
Waendesha pikipiki wakiongoza mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chama
cha Alliance For Democratic Change (ADC) Lucas Kadawi Limbu,alipowasili
Jijini Mwanza kwa ziara ya kikazi na baadaye kufanya mkutano wa hadhara
katika Kata ya Igoma Jijini hapa.
Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance For Democratic Change
(ADC),Lucas Kadawi Limbu mwenye suti katikati ,akiwapungia mkono wafuasi
wa chama hicho baada ya kukagua kikundi cha ngoma muda mfupi baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza mwishoni mwa wiki.Limbu
alifanya mkutano wa hadhara na kupokea wanachama wapya katika Kata ya
Igoma Jijini hapa.Kushoto ni Kamishin wa chama hicho Kanda ya Ziwa
Shaaban Itutu.
Katibu Mkuu wa cha Democratic For Change
(ADC) Lucas Kadawi Limbu akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano
wa hadhara katika Kata ya Igoma Jijini Mwanza.PICHA NA MASHAKA BALTAZAR
-MWANZA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)
Lukaza Blog is a resources blog providing high quality articles with premium topics and well drafted. The main mission of Lukaza Blog is to provide the best quality articles which are relevance, original, truth and education materials designed and perfectlly to deliver best result for your knowledge and understanding of new things.
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua...
Contact Form
About Me
Hello, my name is Josephat Lukaza. I've 12 years in Blogging and An Award Winner for the BEST Political Blog in African Bloggers Awards in 2015 Learn More →
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)