Mhe. Makinda ashiriki Mdahalo kuhusu Mabunge yaunge mkono Mwitiko wa Maswala ya Jinsia - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mhe. Makinda ashiriki Mdahalo kuhusu Mabunge yaunge mkono Mwitiko wa Maswala ya Jinsia

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisisitiza jambo aliposhiriki Mdahalo maalumu ulioandaliwa na Chama Cha Mabunge Duniani (IPU), Mjini Quebec, Canada, kuzungumzia Mabunge yenye Mwitikio wa kuzingatia Maswala ya Jinsia ikiwa ni sehemu ya kuongeza idadi ya wanawake Bungeni. IPU walimchagua Mhe. Makinda kubadilishana na wabunge wengine uzoefu wa Tanzania  ikizingatiwa kuwa Tanzania ni moja kati ya Nchi chache zenye kuzingatia uwiano wa Wabunge wanawake Bungeni Kikatiba. Kulia ni Mwenyekiti wa Sanate katika Bunge Ireland Mhe. Paddy Burke na Katikati ni mwongozaji wa Mdahalo huo Bi. Jemini Pandya ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa IPU.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Kutoka Tanzania Mhe. Dr. Perpetua  Nderakindo Kessy (Kulia) akifuatilia kwa makini mdahalo huo.Picha na Owen Mwandumbya

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages