Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein, akipokea Ripoti ya Tume ya kuzama kwa meli ya Mv SKAGIT, kutoka
kwa Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza ajali ya meli hiyo Jaji Abdulhakim
Ameir Issa, Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, (kulia) akisikiliza Ripoti
ya Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv SKAGIT, iliyosomwa na Mwenyekiti wa
Tume hiyo. Jaji Abdulhakim Ameir Issa, alipofika na ujumbe wa tume
hiyo Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein,(kulia) akizungumza na wajumbe wa Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv
SKAGIT, iliyo ongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)