Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadiki katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini
leo Jumanne Oktoba 9, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani
na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
akipokewa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba
9, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya
Kiserikali ya Canada.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
akilakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya
kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 9, 2012 akitokea katika ziara ya
Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo
Jumanne Oktoba 9, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na
Ziara
Rasmi ya Kiserikali ya Canada.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Waziri wa Sheria na Katiba
Mhe Celina Kombani, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe Steven Wassira,
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Adama Malima na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam
Mhe Said Meck Sadiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 9, 2012 akitokea
katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya
Canada.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)