Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Prof: Tolly Mbwette akionyesha moja ya kitabu kitakachozinduliwa kesho na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi,Kitabu kimoja kinazungumzia tathimini ya miaka 20 ya kupunguza Pengo la elimu Tanzania na nje ya Mipaka ya Tanzania, Kitabu chapili kitakachozinduliwa Kinazungumzia Mapitio ya Jumla ya ubora wa Mfumo wa Uthibiti wa Maji ya chupa na Dhima katika sekta Binafsi katika Ugavi wa maji ya chupa Nchini Tanzania.Uzinduzi huo utafanyika majira ya saa Tatu asubuhi katika ukumbi wa Ali Hassani Mwinyi Chuoni Hapo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)