Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (TGNP) Dk Hellen Kijo Bisimba,akizungumza na wanaharakati wa Haki za Binadamu jijini Dar es Salaam , wakati wa
maadhimisho ya kupinga adhabu ya kifo,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Mtandao wa kutetea Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika(Sahringon) kanda
ya Tanzania Martina Kabisama. PICHA NA PHILEMONI SOLOMON WA FULLSHANGWE
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)