LUKAZA EXCLUSSIVE: KUTOKA ZANZIBAR KUNDI LA IHAMSHO LAIAMSHA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LUKAZA EXCLUSSIVE: KUTOKA ZANZIBAR KUNDI LA IHAMSHO LAIAMSHA ZANZIBAR

Taarifa zilizotufikia hivi punde kwenye meza yetu ya habari kutoka kwa ripota wetu mjini Zanzibar Eneo la  Darajani zinasema kuwa hivi sasa Zanzibar kuna vurugu Kubwa wana uhamsho wanamtafuta Kiongozi wao aliyetekwa Jana usiku. Kwa hiyo Eneo la Darajani hapakaliki. Tutazidi Kuwajuza kadri ripota wetu anavyotupa taarifa 

Stay turned @ Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages