Moja ya Ofisi ya CCM Zanzibar Ikiteketea kwa Moto Muda huu Huko Zanzibar katika Vurugu zinazoendelea
Taarifa zinazozidi kutufikia tena hivi punde kutoka zanzibar ni kwamba ofisi ya Chama Cha Mapinduzi imechowa moto na kwa kiasi kikubwa imeungua na hakuna aliyeripotiwa kuumia wala kupoteza maisha katika vurugu zinazoendelea sahivi huko zanzibar.
Stay turned @ Lukaza Blog






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)