Kutoka makao makuu (HQ) waislam wanakusanyika hapa ili kulishinikiza jeshi
la Polisi kuweza kumwachia sheikh Ponda. Sheikh Ponda alikamatwa jana usiku ambapo anashikiliwa na jeshi polisi tokea jana usiku hadi muda huu.
Tutazidi kuwajuza kadri update zinavyotufikia kutoka kwa ripota wetu
Stay turned @ Lukaza Blog





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)