LORI LATEKETEA KWA MOTO MLANDIZI MUDA HUU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LORI LATEKETEA KWA MOTO MLANDIZI MUDA HUU

Lori la mafuta lateketea kwa moto muda mfupi uliopita katikati ya Eneo la Mlandizi na Chalinze Mpaka sasa Sababu za lori hilo kuwaka moto hazijajulikana na Hakuna aliyeripoti kufa wala kujeruhiwa mpaka sasa. Tutazidi kuwajuza kadri taarifa zinavyotufikia kutoka kwa Ripota wetu aliyepo eneo hilo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages