Picha ya marehemu Kassim enzi za uhai wake
Mwili wa marehemu Kassim Athuman ukiwa umening’inia baada ya
kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani chumbani kwake jana, tukio hili limetokea kwenye mtaa wa Sinza ‘E’, kata ya Sinza Wilaya ya Kinondoni amekutwa amejinyonga chumbani
kwake mapema jioni ya jana.
Shaban Athuman ambaye ni kaka wa marehemu akitoa maelezo kwa
afisa polisi aliyefika kuchukua mwili wa marehemu kwa uchunguzi zaidi
ni kilio na majonzi kwa ndugu jamaa na marafiki.Chanzo: BlogszaMikoa





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)