Kutana na ‘Father Kidevu’ Ndani ya City Sports Lounge Kila J3 na Alhamisi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kutana na ‘Father Kidevu’ Ndani ya City Sports Lounge Kila J3 na Alhamisi

 Mwanamuziki Abdul Salvador “Father Kidevu” akicharaza gitaa la solo wakati akitumbuiza leo katika Mgahawa wa City Sport Lounge uliopo katikati ya jiji la Dar es Salaam. Salvador kwa sasa anaimbia Bendi yake inayoitwa HISIA BAND. Mwanamuziki huyo mkongwe ambaye anaweza kutumia vyombo vya aina mbalimbali vya music anatumbuiza katika mgahawa huo wa City Sport Lounge kila siku ya Jumatatu na Alhamis kuanzia saa 11 jioni.
 Abdul Salvador “Father Kidevu”na Mroki Mroki “Father Kidevu” wakiwa katika picha ya pamoja walipokutana leo kwa mara ya kwanza katika mgahawa wa City Sport Lounge.
Akina Father Kidevu wakishow love katika picha. Salvador alinipa rasmi hati miliki ya jina hilo la Father Kidevu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages