Fadhila Kikula Kitchen Party - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Fadhila Kikula Kitchen Party

Oktoba 7, 2012 ilikuwa ni simu maalum ya Biharusi Mtarajiwa Fadhila Kikula kukabidhiwa jiko na kupewa mawaidha ya hapa na pale kutoka kwa akina mama juu ya namna ya kutunza jiko na nyumba yake kwa ujumla. Siku hii ilikuwa ni ya Kitchen Party.
 Biharusi Mtarajiwa Fadhila Kikula akiwa katika picha ya pamoja na Mpambe wake ambayepia ni mdopgowake Sheila Kikula muda mfupi kabla ya kufundwa huko Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Fadhila akiwa katika picha ya pamoja na mama zake.
 Keki ilikuwa hivi..
 Ilikuwa ni shangwe
Mama wadogo wakizungumza neno.
Wageni mbalimbali waalikwa walikuwepo.  Photos: MD Digital Company 0717003/0755373999

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages