Kocha mpya wa Yanga, Ernstus Brands,
akisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuiona klabu hiyo, kushoto
ni makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga, akimpa maelekezo, wakati wa
hafla fupi iliyofanyika leo katika Klabu hiyo. Kabla ya kujiunga na
Yanga, kocha huyo alikuwa akiifundisha APR ya Rwanda.
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement
Sanga, pamoja na kocha mpya wa Yanga wakisikiliza maswali kutokwa kwa
waansishi wa habari ambao walihudhuria tukio la Yanga kumtambulisha
kocha huyo mpya ambaye atarithi mikoba ya Mbelgiji, Tom Saintfiet,
ambaye alitimuliwa hivi karibuni.
Baadhi
ya waandishi wa habari waliohudhuria hafla hiyo ililofanyika asubuhi
ya leo makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mitaa ya Jangwani na Twiga. Picha zote kwa hisani ya Bin Zueiry Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)