Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiuonesha njia za reli katika ramani ya
Tanzania ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor
Company (MWAPORC) uliomtembelea leo, Ikulu jijini Dar es salaam
kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port
and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo, Ikulu jijini
Dar es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)