Maandalizi yamepamba moto hapa Mziki Mnene kila kitu poa
Dj Akiwa anafanya mambo Hapa Live
Mmoja
wa Wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited ambao ni wamiliki wa
mtandao huu akiwa Live eneo la tukio, Ndugu Sillas Mbuya
Hivi ndivyo vitu vinavyo onekana sasa
Hii Stage kuu
Maandalizi yanaendelea hapa Endelea kufuatilia......PICHA ZOTE NA: www.blogszamikoa.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)